SODIUM DISULFITE ICSC: 1461
Oktoba 2002

Disodium disulfite
Disodium pyrosulfite
Sodium metabisulfite
CAS # 7681-57-4 Na2O5S2
RTECS # UX8225000 Masi ya molekuli: 190.1
UN #
EC # 016-063-00-2
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Haiwaki.

Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
MLIPUKO


MFIDUO
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!

Kuvuta pumzi Kikohozi. Kufanyiza kisauti wakati wa kupumua.
Kinga kiambo ya utoaji moshi au kupumua.
Hewa safi, mapumziko.
Ngozi
Glavu za kinga.
Kwanza suuza kwa maji mengi, halafu vua nguo zilizosibikwa na suuza tena.
Macho Wekundu. Maumivu.
Miwanivuli ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza Maumivu ya tumbo. Kuhara. Kichefuchefu. Kutapika.
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
Sukutua kinywa. Umpe maji mengi ya kunywa. Mpeleke kwa daktari.
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Usifyonze katika vumbi la mbao au vifyonzi vinginevyo viwakavyo. Zoa dutu iliyomwagiga katika vyombo; endapo inafaa, loanisha kwanza ili kuzuia vumbi. (Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P2 cha chembe zinazodhuru). Usiruhusu kemikali hii iingie katika mazingira.
Ainisho ya EU
Ishara: Xn
R: 22-31-41
S: (2-)26-39-46
Ainisho ya UN

EMERGENCY RESPONSE UHIFADHI

Kinachotenganishwa na asidi, vioksidishaji vikali.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2001

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA


SODIUM DISULFITE ICSC: 1461
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
PODA NYEUPE

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Dutu hii hutengana inapokanzwa huzalisha oksidi za sulfuri. Dutu hii ni kinakisishaji kikali na humenyuka ikiwa na vioksidishaji. Humenyuka kwa ukali sana pamoja na mimumunyo mikali wa nitriti sodiamu. Dutu hii hutengana inapogusana na asidi huzalisha oksidi za sulfuri.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV: 5 mg/m³ kama TWA; A4; (ACGIH 2002).
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi na kwa kumeza.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi unaodhuru wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaweza kufikiwa haraka inapotawanywa.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii inakera macho, njia ya upumuaji na inakera kwa ukali njia ya utumbo. Kuvuta pumzi yenye dutu hii kunaweza kusababisha pumu (tazama Vidokezo) in asthmatic persons.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Hutengana chini ya kiwango myeyuko ifikapo 150°C
Uzito wiani: 1.4 g/cm^3
Umumunyifu katika maji, g/100 ml: 54 (vizuri)
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: -3.7
DATA YA MAZINGIRA
Dutu hii inadhuru kwa viumbe viishivyo majini.
VIDOKEZO
Suuza nguo zilizosibikwa (hatari ya moto) kwa maji mengi. Mtu yeyote aliyeonyesha dalili za pumu kutokana na dutu hii kamwe asigusane na dutu hiyo tena. Aghalabu dalili za pumu hazijitokezi mpaka baada ya masaa kadhaa kupita, nazo hushitadi kwa kazi za sulubu. Kwa hiyo mapumziko na uchunguzi wa kitibabu ni muhimu.
MAELEZO YA ZIADA


LEGAL NOTICE Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2001