| ||||||||||||
| ||||||||||||
|
||||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Huwaka.
|
Usiwashe moto.
|
Povu, poda kavu, dioksidi kaboni,or mnyunyizio wa maji.
|
| MLIPUKO |
|
|
|
| MFIDUO |
|
|
|
| Kuvuta pumzi |
|
|
|
| Ngozi |
|
|
|
| Macho |
|
Miwani ya usalama.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
| Kumeza |
|
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
|
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
|
Ainisho ya EU Ainisho ya UN | |||||||
| EMERGENCY RESPONSE | UHIFADHI | |||||||
|
|
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: LAHAMU ISO RANGI HADI NYEUPE, KAMA NTA VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV haifahamiki. |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kumeza. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Kiwango mchemko: 302°C Kiwango myeyuko: 36-60°C Uzito wiani: 0.9 g/cm^3 Umumunyifu katika maji: hakuna Kanieneo mvuke, Pa ifikapo 20°C: <1.3 |
Kiwango cha kumweka: 182-221°C Jotoridi la kujiwasha: >290°C Vikomo vya kilipukaji, % ujazo katika hewa: 0.9-7 (imekadiriwa) Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: >6 | ||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
Dutu hii ina kaboni na nambari ya kaboni zaidi ya 25. Asili yake hutegemea mahali petrolitamu ilitoka na vile ilisafishwa. Ile iliyosafishwa sana (petrolitamu nyeupe) hutumiwa kwa phamacia na vitu vya kurembesha. Ile haikusafishwa sana (petrolitamu ya manjano, uturungi) hutumiwa kwa viwanda na ina uchafu unaoweza kusababisha sarakani. Kwa sababu ya hiyo muungano wa yuropa hutumia kiwango cha kudhuru R 45 (yaweza kusababisha sarakana) na kiheleza N. Angalia N yasomwa, uhainishaji kama kinaweza kusababisha sarakani haitatumika kama historia ya kusafisha vizuri inachulikana na inaweza kuonyeshwa kwamba mahali ilitoka haisababishi sarakani. Maelezo haya yanatumika kwa dutu zinasotokana na oili kwa kiambatisho I.
| |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2001 | |||