TRIPROPYLENE GLYCOL ICSC: 1348
Oktoba 1999

2-(2-(2-Hydroxypropoxy)propoxy)-1-propanol
Propanol, ((1-methyl-1,2-ethanediyl)bis(oxy))bis-
[(Methylethylene)bis(oxy)]dipropanol
CAS # 24800-44-0 C9H20O4 / CH3CHOHCH2OCH(CH3)CH2OCH(CH3)CH2OH
RTECS # YK6825000 Masi ya molekuli: 192.3
UN #
EC #
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huwaka.
Usiwashe moto.
Poda, mnyunyizo wa maji, povu, dioksidi kaboni.
MLIPUKO


MFIDUO


Kuvuta pumzi
Uingizaji hewa.
Hewa safi, mapumziko.
Ngozi
Glavu za kinga.
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
Macho
Miwani ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
Sukutua kinywa. Umpe maji mengi ya kunywa.
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Kusanya kioevu kinachovuja katika vyombo vinavyozibika. Osha salio kwa maji mengi.
Ainisho ya EU
Ainisho ya UN

EMERGENCY RESPONSE UHIFADHI
Msimbo wa NFPA : H 0; F 1; R 0;
Kilichofungwa vizuri.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2001

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA


TRIPROPYLENE GLYCOL ICSC: 1348
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
KIOEVU KISICHO RANGI, ISO HARUFU

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Hushambulia baadhi ya plastiki.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV haifahamiki
HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Ukolezi unaodhuru hautafikiwa au utafikiwa polepole sana kutokana na uvukizi wa dutu hii ifikapo 20°C.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango mchemko: 271°C
Kiwango myeyuko: <-30°C
Uzito wiani (maji = 1): 1.0
Umumunyifu katika maji: kuchanganyika
Kanieneo mvuke, Pa ifikapo 96°C: 133
Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 6.6
Kiwango cha kumweka: 141°C c.c.
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: -0.5
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Madhara ya afya yatokanayo na kuingia mwilini dutu hii yamechunguzwa lakini hayajaonekana.
MAELEZO YA ZIADA


LEGAL NOTICE Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2001