| |||||||||||||
| |||||||||||||
|
|||||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Huwaka.
|
Usiwashe moto.
|
Poda, povu linalokinza alkoholi, mnyunyizo wa maji, dioksidi kaboni.
|
| MLIPUKO |
Mvuke/hewa mahuluti inayolipuka huweza kufanyika inapovuka 90°C.
|
Mfumo funge wa zaidi ya 90°C, uingizaji hewa.
|
|
| MFIDUO |
|
|
|
| Kuvuta pumzi |
Mchomo. Kuchanganyikiwa. Kizunguzungu. Kusinzia. Kupumua kwa shida. Kuumwa koo.
|
Uingizaji hewa, mtambo wa kutolea nje, au kinga ya kupumulia.
|
Hewa safi, mapumziko. Mpeleke kwa matibabu.
|
| Ngozi |
Ngozi kavu.
|
Glavu za kinga.
|
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza na kisha safisha ngozi kwa maji na sabuni.
|
| Macho |
Wekundu.
|
Miwani ya usalama.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
| Kumeza |
Mchomo. Degedege. Kuhara. Kusinzia. Kutapika.
|
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
|
Sukutua kinywa. Usimtapishe. Umpe maji mengi ya kunywa. Kupumzika. Mpeleke kwa daktari.
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
Funika dutu iliyomwagika kwa tope au mchanga. Uingizaji hewa. Kusanya kioevu kinachovuja katika vyombo vyenye mifuniko. Osha salio kwa maji mengi.
|
Ainisho ya EU Ainisho ya UN | |||||||
| EMERGENCY RESPONSE | UHIFADHI | |||||||
|
Msimbo wa NFPA : H 1; F 1; R 0;
|
Kinachotenganishwa na vioksidishaji vikali. Uingizaji hewa kwenye sakafu.
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: KIOEVU KISICHO RANGI, CHENYE HARUFU TAMBULISHI. HATARI ZA KIKEMIKALI: Dutu hii hutengana inapochomwa huzalisha mafusho yanayokereketa. Humenyuka ikiwa na vioksidishaji vikali kusababisha athari ya moto na mlipuko. VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV (kama TWA): 10 ppm; 61 mg/m^3 A4 (ACGIH 1998). MAK haifahamiki |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi na kwa kumeza. HATARI ZA KUVUTA PUMZI: Ukolezi unaodhuru waweza kufikiwa polepole kutokana na uvukizi wa dutu hii ifikapo 20°C wakati wa kunyunyiza , hata hivyo, kwa kasi zaidi. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI: Mvuke huu inakera macho na njia ya upumuaji. Dutu hii huweza kuathiri mfumo mkuu wa neva. Mfiduo juu zaidi ya OEL huweza kusababisha kupoteza fahamu. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA: Kioevu hukausha ngozi. Dutu hii huweza kuathiri mafigo. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Kiwango mchemko: 212°C Kiwango myeyuko: -51°C Uzito wiani (maji = 1): 1.1 Umumunyifu katika maji, g/100 ml ifikapo 20°C: hakuna Kanieneo mvuke, Pa ifikapo 25°C: 190 Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 5.1 |
Uzito wiani wa mvuke/hewa mahuluti ifikapo 20°C (hewa = 1): Kiwango cha kumweka: 90°C c.c. Jotoridi la kujiwasha: 460°C Vikomo vya kilipukaji, % ujazo katika hewa: 0.9-8.4 Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 1.96 | ||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
| |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2001 | |||