4,4'-OXYBIS(BENZENESULPHONYL HYDRAZIDE) ICSC: 1285
Novemba 1998

Benzenesulfonic acid, 4,4'-oxybis-, dihydrazide
4,4'-Oxydi(benzenesulphonohydrazide)
Diphenyloxide 4,4'-sulphonylhydrazide
p,p'-Oxybisbenzenesulphonyl hydrazide
CAS # 80-51-3 C12H14N4O5S2 / H2NHNO2SC6H4OC6H4SO2NHNH2
RTECS # DB7321000 Masi ya molekuli: 358.4
UN #
EC #
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Haiwaki.

Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
MLIPUKO


MFIDUO
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!

Kuvuta pumzi
Mtambo wa kutolea nje.
Hewa safi, mapumziko.
Ngozi
Glavu za kinga.
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza na kisha safisha ngozi kwa maji na sabuni.
Macho
Miwani ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
Sukutua kinywa. Umpe maji mengi ya kunywa.
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Zoa dutu iliyomwagiga katika vyombo; endapo inafaa, loanisha kwanza ili kuzuia vumbi. Kusanya salio kwa uangalifu, kisha peleka mahala pa usalama. (Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P1 cha chembe ajizi).
Ainisho ya EU
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI


IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
4,4'-OXYBIS(BENZENESULPHONYL HYDRAZIDE) ICSC: 1285
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
PODA FUWELE NYEUPE, ISO HARUFU

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV haifahamiki.
HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaokera unaweza kufikiwa haraka inapotawanywa.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Tazama Vidokezo.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Hutengana chini ya kiwango mchemko ifikapo 140-160°C
Kiwango myeyuko: 130°C
Uzito wiani: 1.52 g/cm³
Umumunyifu katika maji: hakuna
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Madhara ya afya yatokanayo na kuingia mwilini dutu hii hayajachunguzwa vya kutosha. Cellmic S, Celmike S, Celogen, Celogen OT, Genitron OB, Serogen, Gidrazid SDO ni majina ya kibiashara.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005