NITROGEN (COMPRESSED GAS) ICSC: 1198
Machi 1999

(silinda)
CAS # 7727-37-9 N2
RTECS # QW9700000 Masi ya molekuli: 28.01
UN # 1066
EC #
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Haiwaki. Ukanzaji unaweza kusababisha ongezeko la kanieneo na kuleta athari ya kupasuka.

Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
MLIPUKO

Utokeapo moto: poza silinda kwa kunyunyizia maji.
MFIDUO


Kuvuta pumzi Kupoteza fahamu. Udhaifu. Ukosefu na hewa. Tazama Vidokezo.
Uingizaji hewa.
Hewa safi, mapumziko. Pumulisha iwapo imeelezwa. Mpeleke kwa matibabu.
Ngozi


Macho


Kumeza


KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Uingizaji hewa. (Kinga ya ziada ya binafsi: vifaa vya kupumulia vilivyo toshelevu).
Ainisho ya EU
Ainisho ya UN
Ainisho ya UN ya Hatari: 2.2

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 20G30
Isodhurika kwa moto iwapo ndani ya jengo. Baridi. Weka katika chumba chenye uingizaji hewa mzuri.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
NITROGEN (COMPRESSED GAS) ICSC: 1198
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
GESI ISO RANGI, ISO HARUFU ILIYOBANWA

HATARI KWA MWILI:
Gesi hii huchanganyika vema na hewa.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV haifahamiki.
Asfiksianti sahili (ACGIH 1998)
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Isipodhibitiwa gesi hii huweza kusababisha kukosekana hewa kwa kupunguza kiasi cha oksijeni hewani katika maeneo funge. Tazama Vidokezo.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango mchemko: -196°C
Kiwango myeyuko: -210°C
Umumunyifu katika maji: mbaya
Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 0.97
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Ukolezi mkubwa katika hewa husababisha unakisi wa oksijeni pamoja na hatari ya kupoteza fahamu au kufa. Pima kiasi cha oksijeni kabla ya kuingia katika eneo.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005