SODIUM TRICHLOROACETATE ICSC: 1139
Machi 2002

TCA-sodium
TCA
STCA
Trichloroacetic acid, sodium salt
CAS # 650-51-1 C2Cl3NaO2 / CCl3CO2Na
RTECS # AJ9100000 Masi ya molekuli: 185.4
UN #
EC # 607-005-00-2
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Haiwaki.

Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
MLIPUKO


MFIDUO
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!

Kuvuta pumzi Kikohozi. Kuumwa koo.
Uingizaji hewa.
Hewa safi, mapumziko. Mpeleke kwa matibabu.
Ngozi Wekundu. Maumivu.
Glavu za kinga.
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
Macho Wekundu. Maumivu.
Miwani ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini. Nawa mikono kabla ya kula.
Sukutua kinywa.
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Zoa dutu iliyomwagika katika vyombo vilivyofunikwa. Usiruhusu kemikali hii iingie katika mazingira. (Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P1 cha chembe ajizi).
Ainisho ya EU
Alama: Xi, N
R: 37-50/53
S: (2-)-46-60-61
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI

Kinachotenganishwa na besi kali. Kavu.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
SODIUM TRICHLOROACETATE ICSC: 1139
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
PODA RISHAI, NYEUPE HADI MANJANO

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Humenyuka pamoja na besi kali huzalisha klorofomi - ona ICSC 0027.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV not established.
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi ya erosoli yake.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Kikolezo cha chembechembe yenye kusumbua yaweza kufikiwa haraka kwa kunyunyiza.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii inakera macho, ngozi na njia ya upumuaji.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Hutengana chini ya kiwango myeyuko ifikapo 165°C
Uzito wiani (maji = 1): 0.9
Umumunyifu katika maji, g/100 ml ifikapo 25°C: 120 (vizuri sana)
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 0.002
DATA YA MAZINGIRA
Dutu hii ni sumu kwa viumbe viishivyo majini. Dutu hii huingia katika mazingira kwa matumizi ya kawaida. Utaratibu wa hali ya juu lazima unahitajika ili kuzuia kiasi zaidi kisitokee kama kupitia kwa kutupwa ovyo.
VIDOKEZO
Vimumunyishaji chukuzi vitumikavyo katika misombo ya kibiashara vyaweza kubadilisha tabia za kimaumbile na za kitoksini. TCA ni kwa kifupi cha asidi trikloriasetiki (ICSC 0586) kwa nchi kadhaa.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005