| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
|
||||||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Haiwaki. Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.
|
Usigusishe na maji.
|
USITUMIE maji, povu, wakala unaohusiana na maji. Moto unapotokea katika eneo: poda kavu, dioksidi kaboni mchanga mkavu.
|
| MLIPUKO |
|
|
|
| MFIDUO |
|
EPUKA MGUSANO WOWOTE!
|
KWA HALI YOYOTE MWONE DAKTARI!
|
| Kuvuta pumzi |
Mchomo. Kikohozi. Kupumua kwa shida. Kukosa pumzi. Kuumwa koo.
|
Uingizaji hewa, mtambo wa kutolea nje, au kinga ya kupumulia.
|
Hewa safi, mapumziko. Mkao wa nusu wima. Mpeleke kwa matibabu.
|
| Ngozi |
Mibabuko ya ngozi.
|
Glavu za kinga. Mavazi ya kinga.
|
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga. Mpeleke kwa matibabu.
|
| Macho |
Kuungua kunakopenya sana.
|
Kingao cha uso, au au kinga ya macho pamoja na kinga ya kupumulia.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
| Kumeza |
Maumivu ya tumbo. Mchomo. Mshtuko au kuzimia.
|
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
|
Sukutua kinywa. Usimtapishe. Mpeleke kwa daktari.
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P2 cha chembe zinazodhuru na kipumulio chujio cha gesi asidi ziso-kikaboni. Vazi linalokinga kemikali. Zoa dutu iliyomwagika katika vyombo vikavu, vinavyokalafatika. Kusanya salio kwa uangalifu, kisha peleka mahala pa usalama. Usiruhusu kemikali hii iingie katika mazingira.
|
Usisafirishe pamoja na vyakula au malisho. Ainisho ya EU Alama: C R: 34 S: (1/2-)-7/8-28-45 Ainisho ya UN Ainisho ya UN ya Hatari: 8 Kikundi Ufungashaji cha UN: II | |||||||
| HATUA ZA HARAKA | UHIFADHI | |||||||
|
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 80S1726 Msimbo wa NFPA: H 3; F 0; R 2; W |
Kinachotenganishwa na vyakula na malisho. Kavu. Kilichofungwa vizuri. Hifadhi mahali pasipokuwa na unyevu au uchafu.
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: PODA ISO RANGI HADI NYEUPE. HUGEUKA KIJIVU HADI MANJANO INAPOFIDULIWA NA UNYEVU. HATARI ZA KIKEMIKALI: Humenyuka kwa ukali sana pamoja na maji na hewa yenye unyevunyevu kusababisha kloridi hidrojeni (tazama ICSC 0163). VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV: (kama Al chumvi mumunyiko) 2 mg/m³ kama TWA; (ACGIH 2005). Huchanganyika kwa haraka katika hewa nyevu kusababisha kloridi hidrojeni kuongezeka: TLV: (kama HCl 2 ppm; (kiwango cha juu); (ACGIH 2005). MAK haijathibitishwa. |
HATARI ZA KUVUTA PUMZI: Kikolezo cha chembechembeya dhuru yaweza kufikiwa haraka ikitawanywa na kuchanganyika kwa haraka katika hewa nyevu kusababisha kloridi hidrojeni . ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI: Dutu hii husababisha ulikaji kwa macho, ngozi na njia ya upumuaji. Husababisha ubabuzi inapomezwa. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Kiwango usablimishaji: 180°C Uzito wiani: 2.44 g/cm³ Umumunyifu katika maji: mmenyuko |
|||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
Dutu hii inadhuru kwa viumbe viishivyo majini.
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
Humenyuka kwa nguvu na vitenzi vya kuzimia moto kama vile maji, povu. KAMWE usimiminie maji dutu hii; wakati wa kumumunyisha au kuzimua, daima itie polepole kwenye maji.
| |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2005 | |||