POLYSTYRENE ICSC: 1043
Novemba 2003

Benzene, ethenyl-, homopolymer
Ethenylbenzene, homopolymer
CAS # 9003-53-6 (C8H8)x
RTECS # WL6475000 Masi ya molekuli: 10 000-300 000
UN #
EC #
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huwaka. Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.
Usiwashe moto.
Poda, mnyunyizio wa maji, povu, dioksidi kaboni.
MLIPUKO


MFIDUO
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!

Kuvuta pumzi
Zuia kuvuta hewa ya vumbi.

Ngozi


Macho
Miwanivuli ya usalama, au kinga ya macho pamoja na kinga ya kupumulia iwapo poda.

Kumeza


KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Uingizaji hewa. Ondoa vyanzo vyote vya moto. Zoa dutu iliyomwagika katika vyombo vyenye lebo. Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P1 cha chembe ajizi.
Ainisho ya EU
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI


IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
POLYSTYRENE ICSC: 1043
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
MANGO KATIKA MAUMBO MBALIMBALI, ISIYO NA RANGI

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Dutu hii hutengana inapokanzwa zaidi ya 300°C huzalisha mafusho yenye sumu kama vile styrene. Dutu hii hutengana inapochomwa huzalisha mafusho yakerayo. Humenyuka pamoja na vioksidishaji vikali.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV haifahamiki. MAK haijathibitishwa.
HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Kikolezo cha chembechembe yenye kusumbua yaweza kufikiwa haraka ikitawanywa hasa kama poda.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Yaweza kusababisha muwasho wa mekaniko.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango myeyuko: 240°C
Uzito wiani (maji = 1): 1.04-1.13
Kiwango cha kumweka: 345-360°C
Jotoridi la kujiwasha: 427°C
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO

MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005