TRIETHANOLAMINE ICSC: 1034
Mei 2003

2,2',2"-Nitrilotriethanol
Trihydroxytriethylamine
CAS # 102-71-6 C6H15NO3 / (CH2OHCH2)3N
RTECS # KL9275000 Masi ya molekuli: 149.2
UN #
EC #
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huwaka. Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.
Usiwashe moto.
Maji mengi, povu linalokinza alkoholi, poda kavu, dioksidi kaboni.
MLIPUKO


MFIDUO
ZUIA UTOKAJI WA UKUNGU!

Kuvuta pumzi Kikohozi. Kuumwa koo.
Mtambo wa kutolea nje. Uingizaji hewa.
Hewa safi, mapumziko.
Ngozi Wekundu.
Glavu za kinga.
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza na kisha safisha ngozi kwa maji na sabuni.
Macho Wekundu.
Miwanivuli ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
Umpe maji mengi ya kunywa.
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Kusanya kioevu kinachovuja katika vyombo vyenye mifuniko. Kisha osha kwa maji mengi.
Ainisho ya EU
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI
Msimbo wa NFPA: H 2; F 1; R 1;
Kinachotenganishwa na vioksidishaji. Kilichofungwa vizuri. Kavu.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
TRIETHANOLAMINE ICSC: 1034
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
KIOEVU KIRISHAI, KISICHO RANGI, KINATACHO AU FUWELE YENYE HARUFU TAMBULISHI.

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Dutu ni besi dhaifu. Humenyuka pamoja na vioksidishaji. Dutu hii hutengana inapochomwa kuzalisha mafusho yenye sumu na babuzi kama vile oksidi za nitrojeni.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV: 5 mg/m³ kama TWA; (ACGIH 2003).
MAK: Sh; (DFG 2002).
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi ya erosoli yake.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi unaodhuru wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaweza kufikiwa haraka inapotawanywa.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii inakera macho, ngozi na njia ya upumuaji.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA:
Mgusano unaorudiwa au wa muda mrefu huweza kuhisisha ngozi.
TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango mchemko: 335.4°C
Kiwango myeyuko: 21.6°C
Uzito wiani (maji = 1): 1.1
Umumunyifu katika maji: kuchanganyika
Kanieneo mvuke, Pa ifikapo 25°C: <1
Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 5.1
Uzito wiani wa mvuke/hewa mahuluti ifikapo 20°C (hewa = 1): 1.0
Kiwango cha kumweka: 179°C
Jotoridi la kujiwasha: 324°C
Vikomo vya kilipukaji, % ujazo katika hewa: 3.6-7.2
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: -2.3
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO

MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005