MAGNESIUM CARBONATE ICSC: 0969
Oktoba 1995

Magnesite
Carbonic acid, magnesium salt
CAS # 546-93-0 MgCO3
RTECS # OM2470000 Masi ya molekuli: 84.3
UN #
EC #
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Haiwaki. Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.

Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
MLIPUKO


MFIDUO
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!

Kuvuta pumzi Kikohozi.
Epuka kuvuta pumzi yenye vumbi laini au ukungu. Kinga kiambo ya utoaji moshi au kupumua.
Hewa safi, mapumziko.
Ngozi
Glavu za kinga.
Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
Macho
Miwani ya usalama.

Kumeza


KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Zoa dutu iliyomwagiga katika vyombo vilivyofunikwa; endapo inafaa, loanisha kwanza ili kuzuia vumbi. (Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P1 cha chembe ajizi).
Ainisho ya EU
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI

Kinachotenganishwa na asidi.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
MAGNESIUM CARBONATE ICSC: 0969
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
PODA NYEUPE

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Dutu hii hutengana inapokanzwa huzalisha moshi wa akridi na mafusho yakerayo. Humenyuka pamoja na asidi kutoa gesi ya dioksidi kaboni.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV: 10 mg/m³ (kama TWA) (ACGIH 1995-1996)
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi ya erosoli yake.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaokera unaweza kufikiwa haraka kwa kunyunyiza au kutawanywa hasa kama poda.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA:
Dutu hii huweza kuathiri mapafu kama magnesiti ina zaidi ya moja kwa mia kama fuwele ya silika.
TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango myeyuko (hutengana): 350°C
Uzito wiani (maji = 1): 2.95
Umumunyifu katika maji, g/100 ml: hakuna
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Kama magnesiti ina zaidi ya moja kwa mia kama fuwele ya silika, ona ICSC 0808.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005