SODIUM AZIDE ICSC: 0950
Aprili 1997

Azide
Azium
CAS # 26628-22-8 NaN3
RTECS # VY8050000 Masi ya molekuli: 65.02
UN # 1687
EC # 011-004-00-7
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huchangua ikipata joto.
Usigusishe na asidi, heavy metals.
Mchanga mkavu, poda maalum.
MLIPUKO Hatari ya moto na mlipuko ikigusana na asidi na metali nyingi (risasi, shaba nyeupe, shaba nyekundu, sabaki, fedha).
USIACHE kikaathiriwa na msuguano au mshtuko.
Utokeapo moto: poza mapipa, n.k. kwa kunyunyizia maji.
MFIDUO
FUATA MASHARTI YA AFYA KIKAMILIFU!

Kuvuta pumzi Kikohozi. Kuumwa kichwa. Kukosa pumzi. Kupoteza fahamu. Kuziba pua kwa mafua. Kiwaa. Moyo kwenda taratibu. Nguvu ya damu kupungua.
Kinga kiambo ya utoaji moshi au kupumua.
Hewa safi, mapumziko. Pumulisha yaweza kuhitajika. Mpeleke kwa matibabu.
Ngozi YAWEZA KUFYONZWA! Wekundu. Malengelenge.
Glavu za kinga.
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
Macho Wekundu. Maumivu.
Miwanivuli ya usalama, au kinga ya macho pamoja na kinga ya kupumulia.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza Maumivu ya tumbo. Kichefuchefu. Kutokwa jasho. (Zaidi tazama Kuvuta pumzi).
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
Sukutua kinywa. Usimtapishe. Umpe maji mengi ya kunywa. Kupumzika. Mpeleke kwa daktari.
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Ondoka katika eneo la hatari. Shauriana na mtaalam. Zoa dutu iliyomwagiga katika vyombo vya plastiki; endapo inafaa, loanisha kwanza ili kuzuia vumbi. Kusanya salio kwa uangalifu, kisha peleka mahala pa usalama. (Kinga ya ziada ya binafsi: nguo kamili za usalama pamoja na vifaa vya kupumulia vilivyo toshelevu).
Usisafirishe pamoja na vyakula au malisho.
Ainisho ya EU
Alama: T+
R: 28-32
S: (1/2-)-28-45
Ainisho ya UN
Ainisho ya UN ya Hatari: 6.1
Kikundi Ufungashaji cha UN: II
HATUA ZA HARAKA UHIFADHI
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 61G12b
Isodhurika kwa moto. Kinachotenganishwa na asidi, vyakula na malisho, metali, hasa risasi na misombo yake.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
SODIUM AZIDE ICSC: 0950
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
FUWELE ENYE PEMPE SITA, ISO RANGI, ISO HARUFU

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Huweza kulipuka wakati wa kukanza zaidi ya huyeyuka ikipata joto haraka, kusababisha athari ya moto na mlipuko. Mmumunyo huu katika maji ni besi dhaifu. Humenyuka na shaba nyeukundu, risasi, fedha, sabaki na kaboni disalfidi huumba ambatani iliyoepesi kwa shindo. Humenyuka pamoja na asidi, kutoa atsidi hidrojeni yenye sumu na lipukaji.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV (kama viwango vya juu kabisa): mvuke wa asidi hidrotsoiki 0.11 ppm;
kama atsidi sodiamu 0.29 mg/m³ (ACGIH 1996)
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi, kupitia kwenye ngozi na kwa kumeza.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi unaodhuru wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaweza kufikiwa haraka.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii inakera macho, ngozi na njia ya upumuaji. Mfiduo juu kidogo ya OEL huweza kusababisha athari kwa ubongo na neva.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Hutengana chini ya kiwango myeyuko ifikapo 275°C
Uzito wiani (maji = 1): 1.8475
Umumunyifu katika maji: vizuri (41.7 g/100 ml ifikapo 17°C)
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Kikomo thamani cha mfiduo matumizi ya kazi kisivukwe wakati wowote wa mfiduo amilifu. Smite ni jina la kibiashara.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005