D-SORBITOL ICSC: 0892
Oktoba 2002

D-glucitol
Hexahydric alcohol
Glucitol
CAS # 50-70-4 C6H14O6
RTECS # LZ4290000 Masi ya molekuli: 182.2
UN #
EC #
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huwaka.
Usiwashe moto.
Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
MLIPUKO Chembechembe zilizotawanyika hufanya mchanganyiko ulipukao hewani.
Zuia utuaji wa vumbi; mfumo funge, vifaa vya umeme na taa visivyolipuka kwa vumbi.

MFIDUO
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!

Kuvuta pumzi


Ngozi


Macho
Miwani ya usalama, au kinga ya macho pamoja na kinga ya kupumulia iwapo poda.

Kumeza Msokoto wa tumbo. Maumivu ya tumbo. Kuhara.
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.

KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Zoa dutu iliyomwagika katika vyombo.
Ainisho ya EU
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI


IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
D-SORBITOL ICSC: 0892
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
MANGO YA RISHAI, NYEUPE KATIKA MAUMBO MBALIMBALI

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV haifahamiki.
HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Kikolezo cha chembechembe yenye kusumbua yaweza kufikiwa haraka ikitawanywa.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii huweza kuathiri njia ya utumbo.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango myeyuko: 110-112°C
Uzito wiani: 1.5 g/cm³
Umumunyifu katika maji, g/100 ml ifikapo 20°C: 220
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: -2.2
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Madhara ya afya yatokanayo na kuingia mwilini dutu hii yamechunguzwa lakini hayajaonekana.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005