| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
|
||||||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Huungua. Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.
|
Usiwashe moto, usiwashe cheche, usivute sigara. Usigusishe na besi, vinavyoweza kuwaka na vioksidishaji.
|
Poda, AFFF, povu, dioksidi kaboni.
|
| MLIPUKO |
Mvuke/hewa mahuluti inayolipuka huweza kufanyika inapovuka 28°C.
|
Mfumo funge wa zaidi ya 28°C, uingizaji hewa, na vifaa vya umeme visivyolipuka.
|
Utokeapo moto: poza mapipa, n.k. kwa kunyunyizia maji. Zima moto ukiwa mahali pa usalama.
|
| MFIDUO |
|
|
|
| Kuvuta pumzi |
Kuumwa kichwa. Kikohozi. Kizunguzungu. Kukosa pumzi. Degedege. Kupoteza fahamu. Udhaifu. (Tazama Kumeza).
|
Uingizaji hewa, mtambo wa kutolea nje, au kinga ya kupumulia.
|
Hewa safi, mapumziko. Mpeleke kwa matibabu.
|
| Ngozi |
Wekundu. (Tazama Kuvuta pumzi).
|
Glavu za kinga.
|
Kwanza suuza kwa maji mengi, halafu vua nguo zilizosibikwa na suuza tena. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
|
| Macho |
Wekundu.
|
Miwanivuli ya usalama.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
| Kumeza |
Maumivu ya tumbo. Midomo au kucha kugeuka kuwa bluu. Ngozi kugeuka kuwa bluu. Kuumwa koo. (Zaidi tazama Kuvuta pumzi).
|
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
|
Sukutua kinywa. Mpeleke kwa daktari.
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
Uingizaji hewa. Ondoa vyanzo vyote vya moto. Kusanya kioevu kinachovuja katika vyombo vinavyozibika. Fyonza kioevu kilichosalia katika mchanga au kifyonzi ajizi na kisha peleka mahala pa usalama. Usielekeze kwenye mfereji wa maji machafu. Usifyonze katika vumbi la mbao au vifyonzi vinginevyo viwakavyo.
|
Ainisho ya EU Alama: Xn R: 10-20/22 S: (2-)-9-25-41 Ainisho ya UN Ainisho ya UN ya Hatari: 3 Kikundi Ufungashaji cha UN: III | |||||||
| HATUA ZA HARAKA | UHIFADHI | |||||||
|
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 30G35 Msimbo wa NFPA: H 1; F 3; R 3; |
Isodhurika kwa moto. Kinachotenganishwa na dutu zenye kuungua na za kunakisi, vioksidishaji vikali.
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: KIOEVU KISICHO RANGI KAMA MAFUTA CHENYE HARUFU TAMBULISHI. HATARI ZA KIKEMIKALI: Huweza kulipuka wakati wa kukanza haraka hadi joto la juu. Misombo isiyohimili mshtuko hutengenezwa kwa alkali iso-kikaboni kali, asidi, au au mchanganyiko wa amini na oksidi za metali nzito. Dutu hii hutengana inapochomwa huzalisha mafusho yenye sumu (oksidi za nitrojeni). Humenyuka pamoja na besi, dutu zinazoweza kuwaka, vioksidishaji kusababisha athari ya moto na mlipuko. VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV: 100 ppm; 307 mg/m³ (kama TWA) (ACGIH 1997) MAK: 100 ppm; 310 mg/m³ (1998) |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi ya mvuke wake na kwa kumeza. HATARI ZA KUVUTA PUMZI: Ukolezi unaodhuru waweza kufikiwa polepole kutokana na uvukizi wa dutu hii ifikapo 20°C. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI: Inayotoza machozi. Dutu hii inakera macho na njia ya upumuaji. Dutu hii huweza kuathiri damu kusababisha upungufu wa oksijeni kwenye damu (sianosisi) na kufanyika kwa methemoglobini. Mfiduo wa viwango vya juu husababisha kupungua fahamu. Athari zinaweza kuchelewa. Uchunguzi wa kitibabu unahitajika. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Kiwango mchemko: 114°C Kiwango myeyuko: -50°C Uzito wiani (maji = 1): 1.05 Umumunyifu katika maji, g/100 ml ifikapo 20°C: 4.5 Kanieneo mvuke, kPa ifikapo 20°C: 2.08 Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 2.6 |
Uzito wiani wa mvuke/hewa mahuluti ifikapo 20°C (hewa = 1): 1.03 Kiwango cha kumweka: 28°C Jotoridi la kujiwasha: 414°C Vikomo vya kilipukaji, % ujazo katika hewa: 4.0-? Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 0.2 | ||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
Kama kuna moto, vyombo vilivyowekewa ikaribiwe tu kama imepoa. Haitahimili mshtuko ikiingiwa na amini, metali nzito, besi, asidi. Kutegemeana na kiasi cha mfiduo, upimaji wa kitibabu wa mara kwa mara pendekeza. Matibabu mahsusi yanahitajika iwapo kuna uligaji kutokana na dutu hii; njia muafaka pamoja na maelekezo sharti yapatikane.
| |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2005 | |||