DIETHYLENE GLYCOL MONOBUTYL ETHER ICSC: 0788
Aprili 2004

2-(2-Butoxyethoxy)ethanol
Diglycol monobutyl ether
Butoxydiglycol
DEGBE
CAS # 112-34-5 C8H18O3 / CH3(CH2)3OCH2CH2OCH2CH2OH
RTECS # KJ9100000 Masi ya molekuli: 162.2
UN #
EC # 603-096-00-8
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huwaka.
Usiwashe moto.
Poda, povu linalokinza alkoholi, mnyunyizio wa maji, dioksidi kaboni.
MLIPUKO Mvuke/hewa mahuluti inayolipuka huweza kufanyika inapovuka 78°C.
Mfumo funge wa zaidi ya 78°C, uingizaji hewa.

MFIDUO


Kuvuta pumzi
Uingizaji hewa. Mtambo wa kutolea nje.
Hewa safi, mapumziko.
Ngozi Ngozi kavu.
Glavu za kinga.
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
Macho Wekundu. Maumivu.
Miwani ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
Sukutua kinywa.
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Kusanya kioevu kinachovuja na kilichomwagika katika vyombo vilivyozibwa kadri inavyowezekana. Osha salio kwa maji mengi.
Ainisho ya EU
Alama: Xi
R: 36
S: (2-)-24-26
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI
Msimbo wa NFPA: H 1; F 2; R 0;
Kinachotenganishwa na vioksidishaji vikali. Uingizaji hewa kwenye sakafu.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
DIETHYLENE GLYCOL MONOBUTYL ETHER ICSC: 0788
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
KIOEVU KISICHO RANGI

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Dutu hii huenda ikatengeneza peroksidi lipukaji. Humenyuka ikiwa na vioksidishaji vikali.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV haifahamiki.
MAK: 100 mg/m³; Aina ya kiwango cha juu: I(1); Kundi la waja wazito lililo hatarini: C; (DFG 2003).
HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Mchanganyiko unaoweza kudhuru yaweza kutokea kama dutu hii inavukiza kwa hewa yenye joto ya 20°C kufikiwa kwa upole na hata kama inanyunyizwa au inatawashika huwa kwa haraka zaidi.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii inakera macho.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA:
Kioevu hukausha ngozi.
TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango mchemko: 230°C
Kiwango myeyuko: -68°C
Uzito wiani (maji = 1): 0.95
Umumunyifu katika maji: vizuri sana
Kanieneo mvuke, Pa ifikapo 20°C: 3
Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 5.6
Kiwango cha kumweka: 78°C c.c.
Jotoridi la kujiwasha: 223°C
Vikomo vya kilipukaji, % ujazo katika hewa: 0.8-9.4
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 0.3
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Kagua kama kuna peroksidi kabla ya kunereka; iwapo chanya fanya iwe salama. Butyl Carbitol, Butyl Dioxitol, Butyl ethyl Cellosolve, DB Glycol Ether, Dowanol DB, Ektasolve DB na Polysolv DB ni majina ya kibiashara.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005