| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
|
||||||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Huungua sana iwapo katika hali ya poda. Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.
|
Usiwashe moto, usiwashe cheche, usivute sigara. Usigusishe na unyevu au asidi.
|
Mchanga mkavu, poda maalum. USITUMIE vitenzi vya majimaji. USITUMIE maji.
|
| MLIPUKO |
Chembechembe zilizotawanyika hufanya mchanganyiko ulipukao hewani.
|
Zuia utuaji wa vumbi; mfumo funge, vifaa vya umeme na taa visivyolipuka kwa vumbi.
|
|
| MFIDUO |
|
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!
|
|
| Kuvuta pumzi |
Kikohozi.
|
Kinga kiambo ya utoaji moshi au kupumua.
|
Hewa safi, mapumziko.
|
| Ngozi |
|
Glavu za kinga.
|
Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
|
| Macho |
Wekundu. Maumivu.
|
Miwanivuli ya usalama.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
| Kumeza |
|
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
|
Sukutua kinywa.
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
Zoa dutu iliyomwagika katika vyombo. Usielekeze kwenye mfereji wa maji machafu. Kusanya salio kwa uangalifu, kisha peleka mahala pa usalama. (Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P2 cha chembe zinazodhuru).
|
Kisichoingiza hewa. Ainisho ya EU Alama: F R: 11-15 S: (2-)-7/8-43 Ainisho ya UN Ainisho ya UN ya Hatari: 4.1 Kikundi Ufungashaji cha UN: III | |||||||
| HATUA ZA HARAKA | UHIFADHI | |||||||
|
Msimbo wa NFPA: H 0; F 1; R 1;
|
Isodhurika kwa moto. Kinachotenganishwa na vioksidishaji vikali, asidi, karbonati, halojeni. Kavu.
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: MANGO METALI KAMA SILVA KATIKA MAUMBO MBALIMBALI HATARI ZA KIKEMIKALI: Dutu hii huweza kuwaka papo hapo inapogusana na hewa au inapokanzwa iwapo katika hali ya chembechembe ndogo. Inapokanzwa, hutoa mafusho yenye sumu. Dutu hii ni kinakisishaji kikali na humenyuka kwa ukali sana ikiwa na vioksidishaji na dutu nyingine nyingi kusababisha athari ya moto na mlipuko. Humenyuka pamoja na unyevu au asidi kutoa gesi inayoweza kuwaka (hidrojeni - tazama ICSC 0001) kusababisha athari ya moto na mlipuko. VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV haifahamiki. |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kumeza. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Kiwango mchemko: 1100°C Kiwango myeyuko: 649°C Uzito wiani (maji = 1): 1.74 Umumunyifu katika maji: mmenyuko |
|||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
Huwaka kwa mwale mkali sana. Ili kuzuia macho yasiumie usiangalie mwale wa magnesi. Humenyuka kwa nguvu na vitenzi vya kuzimia moto kama vile maji, poda, dioksidi kaboni na haloni.
| |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2005 | |||