| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
|
||||||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Huungua sana. Ukanzaji unaweza kusababisha ongezeko la kanieneo na kuleta athari ya kupasuka. Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.
|
Usiwashe moto, usiwashe cheche, usivute sigara.
|
Mnyunyizio wa maji, povu linalokinza alkoholi, poda dioksidi kaboni.
|
| MLIPUKO |
Michanganyiko ya mvuke/hewa hulipuka.
|
Mfumo funge, uingizaji hewa, na vifaa vya umeme na taa visivyolipuka.
|
Utokeapo moto: poza mapipa, n.k. kwa kunyunyizia maji.
|
| MFIDUO |
|
|
|
| Kuvuta pumzi |
Kuumwa kichwa. Kichefuchefu. Kizunguzungu. Moyo kipiga sana.
|
Mfumo funge na uingizaji hewa.
|
Hewa safi, mapumziko.
|
| Ngozi |
|
Glavu za kinga.
|
Suuza na kisha safisha ngozi kwa maji na sabuni.
|
| Macho |
|
Miwani ya usalama.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
| Kumeza |
|
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
|
Sukutua kinywa. Kupumzika.
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio cha gesi na mivuke ya kikaboni. Usielekeze kwenye mfereji wa maji machafu. Kusanya kioevu kinachovuja na kilichomwagika katika vyombo vilivyozibwa kadri inavyowezekana. Fyonza kioevu kilichosalia katika mchanga au kifyonzi ajizi na kisha peleka mahala pa usalama.
|
Ainisho ya EU Alama: F, Xn R: 11-20/21/22-36/38-52/53 S: (2-)-16-23-36/37-61 Ainisho ya UN Ainisho ya UN ya Hatari: 3 Kikundi Ufungashaji cha UN: II | |||||||
| HATUA ZA HARAKA | UHIFADHI | |||||||
|
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 30GF1-I+II
|
Isodhurika kwa moto. Kinachotenganishwa na vioksidishaji vikali, Baridi. Hifadhi mahali pasipokuwa na unyevu au uchafu.
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: KIOEVU KISICHO RANGI CHENYE HARUFU TAMBULISHI. HATARI KWA MWILI: Mvuke huu ni mzito zaidi kuliko hewa na huweza kusafiri ardhini, uwakaji wa mbali unawezekana. HATARI ZA KIKEMIKALI: Inapowaka hutengeneza oksidi za sulfuri. Humenyuka ikiwa na vioksidishaji vikali kama vile asidi nitriki. VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV haifahamiki. MAK: IIb (thamani ya MAK bado haijapatikana lakini hati kamili ipo); (ACGIH 2004). |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi ya mvuke wake na kwa kumeza. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI: Dutu hii huweza kuathiri mfumo mkuu wa neva. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Kiwango mchemko: 119-121°C Kiwango myeyuko: -96.2°C Uzito wiani (maji = 1): 1.0 Umumunyifu katika maji: hakuna Kanieneo mvuke, kPa ifikapo 25°C: 2.4 Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 3.05 |
Uzito wiani wa mvuke/hewa mahuluti ifikapo 20°C (hewa = 1): 1.05 Kiwango cha kumweka: 12°C Jotoridi la kujiwasha: 200°C Vikomo vya kilipukaji, % ujazo katika hewa: 1.1-12.3 Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 1.8 | ||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
The cards has been partly updated in April 2005. See sections Environmental Data, Occupational Exposure Limits.
| |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2005 | |||