| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
|
||||||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Haiwaki lakini hutengeneza gesi inayoungua ikigusana na maji au hewa nyevunyevu. Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.
|
|
USITUMIE vitenzi vya majimaji. USITUMIE maji. USITUMIE dioksidi kaboni. Moto unapotokea katika eneo: povu, poda.
|
| MLIPUKO |
|
|
Utokeapo moto: poza mapipa n.k. kwa kunyunyizia maji BILA (vilivyomo) kugusa maji.
|
| MFIDUO |
|
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI! FUATA MASHARTI YA AFYA KIKAMILIFU!
|
KWA HALI YOYOTE MWONE DAKTARI!
|
| Kuvuta pumzi |
Kuumwa koo. Kuumwa kichwa. Kuchanganyikiwa. Udhaifu. Kukosa pumzi. Degedege. Kupoteza fahamu.
|
Kinga kiambo ya utoaji moshi au kupumua.
|
Hewa safi, mapumziko. Huduma ya kusaidia kupumua ya mdomo kwa mdomo hairuhusiwi. Tumia oksijeni inayotolewa na wataalamu. Mpeleke kwa matibabu.
|
| Ngozi |
YAWEZA KUFYONZWA! Wekundu. Maumivu. (Zaidi tazama Kuvuta pumzi).
|
Glavu za kinga. Mavazi ya kinga.
|
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga. Mpeleke kwa matibabu.
|
| Macho |
Wekundu. Maumivu. (Zaidi tazama Kuvuta pumzi).
|
Miwanivuli ya usalama, kingao cha uso, au au kinga ya macho pamoja na kinga ya kupumulia.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
| Kumeza |
Mchomo. Kichefuchefu. Kutapika. Kuhara. (Tazama Kuvuta pumzi).
|
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini. Nawa mikono kabla ya kula.
|
Mtapishe (MTU MWENYE FAHAMU TU!). Vaa glavu za kinga unapotoa utapishi. Huduma ya kusaidia kupumua ya mdomo kwa mdomo hairuhusiwi. Tumia oksijeni inayotolewa na wataalamu. Mpeleke kwa daktari.
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
Ondoka katika eneo la hatari. Shauriana na mtaalam. Kinga ya ziada ya binafsi: nguo kamili za usalama pamoja na vifaa vya kupumulia vilivyo toshelevu. Uingizaji hewa. Zoa dutu iliyomwagika katika vyombokavu vinavyokalafatika na vilivyowekwo lebo. Katisha salio kwa uangalifu kwa mmumunyo wa hipokloriti ya sodi. Kisha osha kwa maji mengi. Usiruhusu kemikali hii iingie katika mazingira.
|
Kisichoingiza hewa. Furushi madhubuti; weka furushi linaloweza kuvunjika katika chombo madhubuti kilichofungwa. Usisafirishe pamoja na vyakula au malisho. Kichafuzi cha maji/bahari. Ainisho ya EU Alama: T+, N R: 26/27/28-32-50/53 S: (1/2-)-7-28-29-45-60-61 Angalia: [A] Ainisho ya UN Ainisho ya UN ya Hatari: 6.1 Kikundi Ufungashaji cha UN: I | |||||||
| HATUA ZA HARAKA | UHIFADHI | |||||||
|
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 61S1680 Msimbo wa NFPA: H 3; F 0; R 0; |
Kinachotenganishwa na vioksidishaji vikali, asidi, vyakula na malisho, dioksidi kaboni, maji, au vitenzi vya majimaji. Kavu. Kilichofungwa vizuri. Weka katika chumba chenye uingizaji hewa mzuri. Hifadhi mahali pasipokuwa na unyevu au uchafu.
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: ZA RISHAI FUWELE MANGOOR KATIKA MAUMBO MBALIMBALIYENYE HARUFU TAMBULISHI. ISO HARUFU WHEN DRY. HATARI ZA KIKEMIKALI: Dutu hii hutengana kwa haraka inapogusana na asidi, na polepole inapogusana na maji, unyevu au carbon dioxide huzalisha sianidi hidrojeni (see ICSC 0492). Mmumunyo huu katika maji ni besi kali ya kati. VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV: as CN 5 mg/m³; (kiwango cha juu); (ngozi); (ACGIH 2005). MAK: (Inhalable fraction) 2 mg/m³; H Aina ya kiwango cha juu: II(1); Kundi la waja wazito lililo hatarini: C; (DFG 2004). |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi, kupitia kwenye ngozi na kwa kumeza. HATARI ZA KUVUTA PUMZI: Kikolezo cha chembechembe ya dhuru yaweza kufikiwa haraka ikitawanywa. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI: Dutu hii inakera kwa ukali macho, ngozi na njia ya upumuaji. Dutu hii huweza kuathiri ubadilishaji hewa wa seli kusababisha degedege na kupoteza fahamu. Mfiduo huweza kusababisha kifo. Uchunguzi wa kitibabu unahitajika. Tazama Vidokezo. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA: Dutu hii huweza kuathiri tezi thioridi. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Kiwango mchemko: 1625°C Kiwango myeyuko: 634°C Uzito wiani: 1.52 g/cm³ Umumunyifu katika maji, g/100 ml: 71.6 |
|||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
Dutu hii ni sumu kali kwa viumbe viishivyo majini.
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
Kikomo thamani cha mfiduo matumizi ya kazi kisivukwe wakati wowote wa mfiduo amilifu. Matibabu mahsusi yanahitajika iwapo kuna uligaji kutokana na dutu hii; njia muafaka pamoja na maelekezo sharti yapatikane. Kutegemeana na kiasi cha mfiduo, upimaji wa kitibabu wa mara kwa mara pendekeza. Usichukue nguo za kazi nyumbani. Usifanye kazi peke yako mahali hapo pana uwezekano wa kuwepo sianidi hidrojeni. The cards has been partly updated in April 2005. See sections Environmental Data, Occupational Exposure Limits. | |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2005 | |||