|
DATA MUHIMU
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: MANGO NYEUPE, ISO HARUFU, KATIKA MAUMBO MBALIMBALI
VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV haifahamiki MAK: (sehemu pumuzi) 1.5 mg/m³; (DFG 2004).
|
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi.
HATARI ZA KUVUTA PUMZI: Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaokera unaweza kufikiwa haraka.
|
|
TABIA ZA KIMAUMBILE
|
Kiwango myeyuko: (tazama Vidokezo) 300°C Uzito wiani: 2.42 g/cm³ Umumunyifu katika maji: hakuna Kanieneo mvuke, Pa ifikapo 20°C: <10
|
|
|
DATA YA MAZINGIRA
|
|
|
VIDOKEZO
|
Kiwango myeyuko dhahiri kinachosababishwa na upoteaji wa maji fuwele kimeelezwa. Alugel, Alumigel, Alusal, Amphogel, Almogastrin, Higilite, Hychol 705, Hydrafil, Hydral 705, Liquigel, Martinal na Reheis F 1000 ni majina ya kibiashara.
|
|
MAELEZO YA ZIADA
|
|
|
TAARIFA YA KISHERIA
|
Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
|
|
|
© IPCS, CEC 2005
|