PICRIC ACID ICSC: 0316
Oktoba 1997

2,4,6-Trinitrophenol
CAS # 88-89-1 C6H3N3O7
RTECS # TJ7875000 Masi ya molekuli: 229.1
UN # 0154
EC # 609-009-00-X
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huwaka. Mimenyuko mingi yaweza kusababisha moto au kulipuka. Tazama Vidokezo.
Usiwashe moto.
Maji mengi.
MLIPUKO Hatari ya moto na mlipuko.
USIACHE kikaathiriwa na msuguano au mshtuko.
Utokeapo moto: poza mapipa, n.k. kwa kunyunyizia maji.
MFIDUO
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!

Kuvuta pumzi Kikohozi. Kuumwa koo.
Kinga kiambo ya utoaji moshi au kupumua.
Hewa safi, mapumziko. Pumulisha iwapo imeelezwa. Mpeleke kwa matibabu.
Ngozi Wekundu. Ngozi njano.
Glavu za kinga. Mavazi ya kinga.
Suuza na kisha safisha ngozi kwa maji na sabuni. Mpeleke kwa matibabu.
Macho Wekundu. Maumivu. Kuona manjano.
Miwanivuli ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza Kuhara. Kizunguzungu. Kuumwa kichwa. Kichefuchefu. Kutapika.
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
Mtapishe (MTU MWENYE FAHAMU TU!). Mpeleke kwa daktari.
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Zoa dutu iliyomwagiga katika vyombo; endapo inafaa, loanisha kwanza ili kuzuia vumbi. Kusanya salio kwa uangalifu, kisha peleka mahala pa usalama. Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P3 cha chembe zenye sumu.
Maunzi maalum.
Ainisho ya EU
Alama: E, T
R: 2-4-23/24/25
S: (1/2-)-28-35-37-45
Ainisho ya UN
Ainisho ya UN ya Hatari: 1.1 D

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 41GD-II+II au 10G1.1
Msimbo wa NFPA : H 3; F 4; R 4;
Isodhurika kwa moto. Kinachotenganishwa na vioksidishaji vikali, metali na vitapasaji.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
PICRIC ACID ICSC: 0316
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
FUWELE MANJANO, ISO HARUFU.

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Huweza kutengana kwa mlipuko kutokana na mshtuko, msuguano, mtikiso. Huweza kulipuka wakati wa kukanza. Misombo isiyohimili mshtuko hutengenezwa kwa metali, hasa shaba, risasi, zebaki na zinki. Inapowaka hutengeneza oksidi kikaboni na oksidi za nitrojeni sumu. Humenyuka kwa nguvu ikiwa na vioksidishaji na vitapasaji.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV: 0.1 mg/m³ kama TWA; (ACGIH 2004).
MAK: kuingia kupitia kwa ngozi (H); kuhisisha ngozi (Sh); Aina ya sarakani: 3B; (DFG 2004).
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi na kwa kumeza.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi unaodhuru wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaweza kufikiwa haraka.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii inakera macho, ngozi na njia ya upumuaji.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA:
Mgusano unaorudiwa au wa muda mrefu huweza kusababisha ugonjwa wa ngozi. Ngozi na nywele zinaweza kubadilika kuwa njano.
TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango myeyuko: 122°C
Uzito wiani: 1.8 g/cm³
Umumunyifu katika maji, g/100 ml: 1.4
Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 7.9
Kiwango cha kumweka: 150°C
Jotoridi la kujiwasha: 300°C
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 2.03
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Kwa usalama wa usafirishaji, maji 10-20% kwa kawaida huongeza. Katika hali ya kawaida: huwaka moto; ikiwa hali ya oksidishi huweza kulipuka. Usichukue nguo za kazi nyumbani. Suuza nguo zilizosibikwa (hatari ya moto) kwa maji mengi. Nambari nyingine za UN: 1344, yenye maji 30%, ainisho ya UN ya hatari 4.1, kikundi ufungashaji cha UN I.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005