| |||||||||||||
| |||||||||||||
|
|||||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Huwaka.
|
Usiwashe moto.
|
Poda, mnyunyizo wa maji, povu, dioksidi kaboni.
|
| MLIPUKO |
|
|
|
| MFIDUO |
|
|
|
| Kuvuta pumzi |
|
Uingizaji hewa.
|
Hewa safi, mapumziko.
|
| Ngozi |
|
Glavu za kinga.
|
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza na kisha safisha ngozi kwa maji na sabuni.
|
| Macho |
Wekundu.
|
Miwani ya usalama.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
| Kumeza |
Mchomo. Kichefuchefu. Kupoteza fahamu. Kutapika.
|
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
|
Sukutua kinywa. Usimtapishe. Kupumzika.
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
Kusanya kioevu kinachovuja katika vyombo vinavyozibika. Fyonza kioevu kilichosalia katika mchanga au kifyonzi ajizi na kisha peleka mahala pa usalama. Usielekeze kwenye mfereji wa maji machafu.
|
Ainisho ya EU Ainisho ya UN | |||||||
| HATUA ZA HARAKA | UHIFADHI | |||||||
|
Msimbo wa NFPA : H 0; F 1; R 0;
|
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: KIOEVU KISICHO RANGI, KAMA MAFUTA VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV: 5 mg/m³ kama TWA (ACGIH 1995). MAK haifahamiki |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi na kwa kumeza. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Kiwango mchemko: 284°C Kiwango myeyuko: 5.5°C Uzito wiani (maji = 1): 1.19 Umumunyifu katika maji, g/100 ml ifikapo 20°C: 0.43 Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 6.69 |
Kiwango cha kumweka: 146°C Jotoridi la kujiwasha: 490°C Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 1.47-2.12 | ||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
DMP ni jina litumikalo mara kwa mara. Viwango myeyuko vinginevyo: zao la kibiashara huganda takribani kwenye 0°C. Usichukue nguo za kazi nyumbani. Dutu hii inaleta madhara katika mimba za wanyama.
| |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2005 | |||