1,2-DICHLORO-4-NITROBENZENE ICSC: 0254
Oktoba 1995

3,4-Dichloronitrobenzene
DCNB
CAS # 99-54-7 C6H3Cl2NO2
RTECS # CZ5250000 Masi ya molekuli: 192.0
UN # 1578
EC #
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huwaka. Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.
Usiwashe moto.
Poda, mnyunyizo wa maji, povu, dioksidi kaboni.
MLIPUKO Chembechembe zilizotawanyika hufanya mchanganyiko ulipukao hewani.
Zuia utuaji wa vumbi; mfumo funge, vifaa vya umeme na taa visivyolipuka kwa vumbi.

MFIDUO
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!

Kuvuta pumzi
Kinga kiambo ya utoaji moshi au kupumua.
Hewa safi, mapumziko.
Ngozi
Glavu za kinga.
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
Macho Wekundu. Maumivu.
Miwanivuli ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
Sukutua kinywa. Mtapishe (MTU MWENYE FAHAMU TU!).
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Ondoka katika eneo la hatari. Shauriana na mtaalam. Zoa dutu iliyomwagiga katika vyombovinavyokalafatika; endapo inafaa, loanisha kwanza ili kuzuia vumbi. Usiruhusu kemikali hii iingie katika mazingira. (Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio A/P3 cha mvuke kikaboni na cha chembe zenye sumu).
Usisafirishe pamoja na vyakula au malisho.
Ainisho ya EU
Ainisho ya UN
Ainisho ya UN ya Hatari: 6.1
Kikundi Ufungashaji cha UN: II
HATUA ZA HARAKA UHIFADHI
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 61GT2-II na 61GT1-II (iliyoyeuka)
Kinachotenganishwa na vioksidishaji vikali, besi kali, vyakula na malisho. Kilichofungwa vizuri. Uingizaji hewa kwenye sakafu.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
1,2-DICHLORO-4-NITROBENZENE ICSC: 0254
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
FUWELE UMBO KAMA SINDANO, ISO RANGI HADI KIJIVU

HATARI KWA MWILI:
Mlipuko wa vumbi huweza kutokea iwapo katika umbo la poda au punjepunje, vikichanganywa na hewa.

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Dutu hii hutengana inapochomwa kutoa mafusho yenye sumu kama vile oksidi za nitrojeni na kloridi hidrojeni ( ICSC 0163). Humenyuka kwa ukali sana pamoja na vioksidishaji na besi kali.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV haifahamiki
MAK: kuingia kupitia kwa ngozi (H); Aina ya sarakani: 3B; (DFG 2004).
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii inakera macho na ngozi. Dutu hii huweza kuathiri damu.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango mchemko: 255°C
Kiwango myeyuko: 39-41°C
Uzito wiani (maji = 1): 1.45 ifkapo 75°C
Umumunyifu katika maji: hakuna
Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 6.6
Kiwango cha kumweka: 124°C
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 3.12
DATA YA MAZINGIRA
Dutu hii inaweza kusababisha madhara yatakayoonekana baadaye katika mazingira ya maji.
VIDOKEZO

MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005