TRI-ALLATE ICSC: 0201
Aprili 2005

S-(2,3,3-Trichloroallyl) diisopropylthiocarbamate
S-(2,3,3-Trichloro-2-propenyl) bis(1-methylethyl)carbamothioate
CAS # 2303-17-5 C10H16Cl3NOS / ((CH3)2CH)2NCOSCH2CCl=CCl2
RTECS # EZ8575000 Masi ya molekuli: 304.7
UN #
EC # 006-039-00-X
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huwaka. Michanganyiko ya vioevu vyenye vimumunyisho vya kaboni huweza kuwaka (moto). Hutoa moshi (au gesi) wenye kukereketa au wenye sumu ukiwa motoni.
Usiwashe moto.
Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
MLIPUKO


MFIDUO


Kuvuta pumzi
Epuka kuvuta pumzi yenye vumbi laini au ukungu.
Hewa safi, mapumziko.
Ngozi Wekundu.
Glavu za kinga.
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
Macho Wekundu.
Miwani ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini. Nawa mikono kabla ya kula.
Sukutua kinywa. Mpeleke kwa daktari.
KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio A/P2 cha mvuke kikaboni na vumbi linalodhuru. Kusanya kioevu kinachovuja katika vyombo vinavyozibika. Fyonza kioevu kilichosalia katika mchanga au kifyonzi ajizi na kisha peleka mahala pa usalama. Usiruhusu kemikali hii iingie katika mazingira.
Usisafirishe pamoja na vyakula au malisho.
Ainisho ya EU
Alama: Xn, N
R: 22-43-48/22-50/53
S: (2-)-24-37-60-61
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI

Kinachotenganishwa na vyakula na malisho.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
TRI-ALLATE ICSC: 0201
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
KIOEVU ANGAVU AU FUWELE ZISIO NA RANGI

HATARI ZA KIKEMIKALI:
Dutu hii hutengana inapokanzwa zaidi ya 200°C kuzalisha gesi zenye sumu na babuzi pamoja na kloridi hidrojeni, oksidi za nitrojeni na oksidi za sulfuri. Hushambulia metali nyingi.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV haifahamiki.
MAK haijathibitishwa.
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi na kwa kumeza.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Kikolezo cha chembechembeya dhuru yaweza kufikiwa haraka kwa kunyunyiza au kutawanywa hasa kama poda.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii inakera macho na ngozi.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango mchemko ifikapo 0.04kPa: 117°C
Kiwango myeyuko: 29-30°C
Uzito wiani (maji = 1): 1.27
Umumunyifu katika maji, g/100 ml ifikapo 25°C: 0.0002
Kanieneo mvuke, Pa ifikapo 25°C: 0.016
Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 10.5
Kiwango cha kumweka: 90°C c.c.
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 3.98 (imekadiriwa)
DATA YA MAZINGIRA
Dutu hii ni sumu kali kwa viumbe viishivyo majini. Kuzidisha kwa kemikali yaweza kutokea kwa viumbe hai vya majini. Dutu hii huingia katika mazingira kwa matumizi ya kawaida. Utaratibu wa hali ya juu lazima unahitajika ili kuzuia kiasi zaidi kisitokee kama kupitia kwa kutupwa ovyo.
VIDOKEZO
Tri-allate kiteknikali ni kioevu kahawia-manjano na kama mafuta. Angalia pia kadi ya viyeyusho endapo vimetumiwa kutengenezea dutu hii. Vimumunyishaji chukuzi vitumikavyo katika misombo ya kibiashara vyaweza kubadilisha tabia za kimaumbile na za kitoksini. Avadex BW, Dipthal na Far-Go ni majina ya kibiashara.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005