SLAG WOOL ICSC: 0195
Aprili 2000

CAS #
RTECS #
UN #
EC # 650-016-00-2
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Haiwaki.

Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
MLIPUKO


MFIDUO TAZAMA ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!

Kuvuta pumzi Kuumwa koo. Kupumua kwa shida.
Kinga kiambo ya utoaji moshi au kupumua.
Hewa safi, mapumziko. Mpeleke kwa matibabu.
Ngozi Wekundu. Kuwasha.
Glavu za kinga. Mavazi ya kinga.

Macho Wekundu. Maumivu. Kuwasha.
Miwanivuli ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.

KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Zoa dutu iliyomwagiga katika vyombo; endapo inafaa, loanisha kwanza ili kuzuia vumbi. Kusanya salio kwa uangalifu, kisha peleka mahala pa usalama. Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P2 cha chembe zinazodhuru.
Ainisho ya EU
Alama: Xn
R: 38-40
S: (2-)-36/37
Angalia: [A,Q,R]
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI


IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
SLAG WOOL ICSC: 0195
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
MANGO YENYE NYUZINYUZI.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV: (kama TWA) 1 nyuzi/cm³, A3 (ACGIH 1999)
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi unaodhuru wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaweza kufikiwa haraka.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii inakera macho, ngozi na njia ya upumuaji.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA:
Dutu hii ina uwezekano wa kusababisha kansa kwa binadamu. Uwezekano wa kusababisha kansa hutegemea urefu, kipenyo, maumbile ya kemikali na biologia ya kuendelea kuepo kwa nyuzi. Ikiwa unatumia hii nyenzo lazima upate mawaidha ya kiusitadi.
TABIA ZA KIMAUMBILE
Umumunyifu katika maji: hakuna
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Slag wool ni siliketi amofasi iliyotengenezwa kutokana na mwamba. Ili kudidimiza yaweza kuwa na kinatio na mafuta.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005