| |||||||||||
| |||||||||||
|
|||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Haiwaki.
|
|
Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
|
| MLIPUKO |
|
|
|
| MFIDUO |
TAZAMA ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA
|
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!
|
|
| Kuvuta pumzi |
Kuumwa koo. Kupumua kwa shida.
|
Kinga kiambo ya utoaji moshi au kupumua.
|
Hewa safi, mapumziko. Mpeleke kwa matibabu.
|
| Ngozi |
Wekundu. Kuwasha.
|
Glavu za kinga. Mavazi ya kinga.
|
|
| Macho |
Wekundu. Maumivu. Kuwasha.
|
Miwanivuli ya usalama.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
| Kumeza |
|
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini.
|
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
Zoa dutu iliyomwagiga katika vyombo; endapo inafaa, loanisha kwanza ili kuzuia vumbi. Kusanya salio kwa uangalifu, kisha peleka mahala pa usalama. Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P2 cha chembe zinazodhuru.
|
Ainisho ya EU Alama: Xn R: 38-40 S: (2-)-36/37 Angalia: [A, Q, R] Ainisho ya UN | |||||||
| HATUA ZA HARAKA | UHIFADHI | |||||||
|
|
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: MANGO YENYE NYUZINYUZI. VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV: (kama TWA) 1 nyuzi/cm³, A3 (ACGIH 1999) |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi. HATARI ZA KUVUTA PUMZI: Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi unaodhuru wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaweza kufikiwa haraka. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI: Dutu hii inakera macho, ngozi na njia ya upumuaji. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA: Dutu hii ina uwezekano wa kusababisha kansa kwa binadamu. Uwezekano wa kusababisha kansa hutegemea urefu, kipenyo, maumbile ya kemikali na biologia ya kuendelea kuepo kwa nyuzi. Ikiwa unatumia hii nyenzo lazima upate mawaidha ya kiusitadi. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Umumunyifu katika maji: hakuna |
|||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
Rock wool ni siliketi amofasi iliyotengenezwa kutokana na mwamba. Ili kudidimiza yaweza kuwa na kinatio na mafuta.
| |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2005 | |||