| ||||||||||||||
| ||||||||||||||
|
||||||||||||||
| AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
| MOTO |
Haiwaki lakini huongeza mwako wa dutu nyingine. Ukanzaji unaweza kusababisha ongezeko la kanieneo na kuleta athari ya kupasuka.
|
Usiwashe moto, usiwashe cheche, usivute sigara. Usigusishe na dutu ziwakazo.
|
Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
|
| MLIPUKO |
|
|
Utokeapo moto: poza silinda kwa kunyunyizia maji. Zima moto ukiwa mahali pa usalama.
|
| MFIDUO |
|
|
|
| Kuvuta pumzi |
Kikohozi. Kizunguzungu. Kuumwa koo. Kuona maruweruwe. Tazama Vidokezo.
|
|
Mpeleke kwa matibabu.
|
| Ngozi |
|
|
|
| Macho |
|
Miwanivuli ya usalama.
|
|
| Kumeza |
|
|
|
| KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
|
Uingizaji hewa.
|
Ainisho ya EU Alama: O R: 8 S: (2-)-17 Ainisho ya UN Ainisho ya UN ya Hatari: 2.2 Jasara tanzu za UN: 5.1 | |||||||
| HATUA ZA HARAKA | UHIFADHI | |||||||
|
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - TEC (R)-20S1072 au 20G1O
|
Isodhurika kwa moto. Kinachotenganishwa na dutu zenye kuungua na za kunakisi Baridi.
| |||||||
| ||||||||
| |||
| DATA MUHIMU | |||
|
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: GESI ILIYOBANWA, ISO HARUFU HATARI KWA MWILI: Gesi hii ni nzito kuliko hewa. HATARI ZA KIKEMIKALI: Dutu hii ni kioksidishaji madhubuti na humenyuka iwapo na maunzi yanayoweza kuwaka na yanayonakisi, kusababisha athari ya moto na mlipuko. VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV haifahamiki |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI: Kuvuta pumzi ya hewa yenye viwango vya juu sana vya dutu hii inakera njia ya upumuaji. Dutu hii huweza kuathiri mfumo mkuu wa neva mapafu na macho. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA: Mapafu huweza kuathiriwa kwa kuvuta hewa iliyokolea mno. | ||
| TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
|
Kiwango mchemko: -183°C Kiwango myeyuko: -218.8°C Umumunyifu katika maji, ml/100 ml ifikapo 20°C: 3.1 Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 1.1 |
Oktanoli/kizigeu mgawo cha maji kwa logi Pow: 0.65 | ||
| DATA YA MAZINGIRA | |||
|
| |||
| VIDOKEZO | |||
|
Dalili ya kuvuta hii gesi hutokea tu ukivuta nyingi zaidi. Pia shauriana na ICSC #0880 : Oksijeni oevu (cryogenic liquid).
| |||
| MAELEZO YA ZIADA | |||
|
| |||
| |||
| © IPCS, CEC 2005 | |||