CARBON MONOXIDE ICSC: 0023
Oktoba 1994

Carbon oxide
Carbonic oxide
(silinda)
CAS # 630-08-0 CO
RTECS # FG3500000 Masi ya molekuli: 28.0
UN # 1016
EC # 006-001-00-2
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Huungua mno.
Usiwashe moto, usiwashe cheche, usivute sigara.
Funga ugavi; kama haiwezekani na hakuna hatari kwa mazingira, acha moto uwake hadi ujizime; ama sivyo zima kwa kutumia dioksidi kaboni, mnyunyizo wa maji, poda.
MLIPUKO Michanganyiko ya gesi/hewa hulipuka.
Mfumo funge, uingizaji hewa, na vifaa vya umeme na taa visivyolipuka. Tumia vifaa vya mkono visivyotoa cheche.
Utokeapo moto: poza silinda kwa kunyunyizia maji. Zima moto ukiwa mahali pa usalama.
MFIDUO
EPUKA MFIDUO KWA WANAWAKE (WAJAWAZITO)!
KWA HALI YOYOTE MWONE DAKTARI!
Kuvuta pumzi Kuchanganyikiwa. Kizunguzungu. Kuumwa kichwa. Kichefuchefu. Kupoteza fahamu. Udhaifu.
Uingizaji hewa, mtambo wa kutolea nje, au kinga ya kupumulia.
Hewa safi, mapumziko. Pumulisha iwapo imeelezwa. Mpeleke kwa matibabu.
Ngozi


Macho


Kumeza


KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Ondoka katika eneo la hatari. Shauriana na mtaalam. Uingizaji hewa. (Kinga ya ziada ya binafsi: vifaa vya kupumulia vilivyo toshelevu).
Ainisho ya EU
Alama: F+, T
R: 61-12-23-48/23
S: 53-45
Angalia: [E]
Ainisho ya UN
Ainisho ya UN ya Hatari: 2.3
Jasara tanzu za UN: 2.1

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 20S1016
Msimbo wa NFPA : H 3; F 4; R 0;
Isodhurika kwa moto. Baridi.
IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
CARBON MONOXIDE ICSC: 0023
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
GESI ISO HARUFU, ISO RANGI ILIYOBANWA

HATARI KWA MWILI:
Gesi hii huchanganyika vema na hewa, mchanganyiko unaolipuka hutokea kwa urahisi. The gas penetrates easily through walls and ceilings.

HATARI ZA KIKEMIKALI:
In the presence of finely dispersed metal powders the substance forms toxic and flammable carbonyls. May react vigorously with oxygen, acetylene, chlorine, fluorine, nitrous oxide.

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV: 25 ppm kama TWA; BEI imetolewa; (ACGIH 2004).
MAK: 30 ppm, 35 mg/m³; Aina ya kiwango cha juu: II(1); Kundi la waja wazito lililo hatarini: B; (DFG 2004).
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Ukolezi unaodhuru wa gesi hii hewani utafikiwa kwa haraka sana isipodhibitiwa.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI:
Dutu hii huweza kuathiri damu, mfumo wa moyo na mishipa na mfumo mkuu wa neva. Mfiduo wa viwango vya juu huweza kuleta kupoteza fahamu na kifo. Uchunguzi wa kitibabu unahitajika.

ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU AU UNAORUDIWA:
Dutu hii huweza kuathiri mfumo wa neva na mfumo wa moyo na mishipa, kusababisha ugonjwa wa moyo na neva. Yakisiwa kusababisha madhara ya uzazi kama vile mishipa ya fahamu, uzito mdogo wa kuzaliwa, kuongezeka kuzaa kabla ya wakati, na hitilafu katika maumbile ya moyo.
TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango mchemko: -191°C
Kiwango myeyuko: -205°C
Umumunyifu katika maji, ml/100 ml ifikapo 20°C: 2.3
Uzitowiani wa mvuke (hewa = 1): 0.97
Kiwango cha kumweka: gesi iunguayo
Jotoridi la kujiwasha: 605°C
Vikomo vya kilipukaji, % ujazo katika hewa: 12.5-74.2
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Carbon monoxide is a product of incomplete combustion of coal, oil, wood. It is present in vehicle exhaust and tobacco smoke. Kutegemeana na kiasi cha mfiduo, upimaji wa kitibabu wa mara kwa mara unahitajika. Hakuna onyo la harufu iwapo kuna vikolezi vya kitoksini.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005